IMG 20241104 WA0016

+255-22-2857114   pbc@ports.go.tz

Chuo cha Bandari Dar es salam cha shiriki maadhimisho ya siku ya Usafiri wa maji duniani na Miaka 50 ya uanachama wa IMO kwa Tanzania. Maadhimisho haya yamepambwa na kauli mbiu isemayo “Mustakabali wa Uendeshaji vyombo vya Usafiri majini: Usalama Kwanza".

Maadhimisho haya yanawakutanisha wadau wa Usafiri wa Maji Tanzania kupitia maonesho ya siku siku nne kuanzia tarehe 23-26 Septemba 2024. Maonesho haya yanafanyika katika viwanja vya Mkendo vilivyopo Manispaa ya Musoma mkoani Mara.

Bandari College Maadhimisho Usafiri wa Maji Duniani

Siku ya Usafiri wa Maji IMO