BC Banner New

Chuo cha Bandari kinaendelea kupokea wadau mbalimbali kwaajili ya kuendeleza mashirikiano katika eneo la mafunzo kwa njia ya nadharia na vitendo.

Chuo kimepokea uongozi wa chuo cha Adani Skill Development Centre kutoka India.
Lengo la ugeni huo ni kuendeleza mashirikiano baina ya vyuo hivi viwili. Chuo cha Bandari kinaendelea kujiimarisha ili kukidhi mahitaji ya wadau wake na soko katika sekta ya uchukuzi.

bc adani ziara3

bc adani ziara1

 bc adani ziara