BC Banner New

Chuo cha Bandari Dar es Salaam kinaendesha mafunzo ya Wiki moja katika Fani ya Mafuta na Gesi ili kuwajengea uwezo Washiriki wa Mafunzo hayo kufanya kazi zao kwa Weledi na Ufanisi.

 IMG 0173

 Mafunzo hayo yamefunguliwa na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bandari Bw. Paul Humbi na yataongozwa na Mkufunzi Mhandisi Harrison Monday kutoka Chuo cha HOMIK cha Nchini Nigeria.

IMG 0188

Mafunzo hayo yamejikita katika utaalamu wa utafiti wa nishati za Mafuta na Gesi, Uvunaji na Uzalishaji wa Bidhaa zake, Uhifadhi, Usimamizi, Usalama na tahadhari za kuchukua katika maeneo ya uzalishaji wa Mafuta na Gesi.

IMG 0186