BC Banner New

Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa usimamizi dhabiti wa mahali pa kazi ili kuongeza ufanisi. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa chuo cha Bandari kwa muda wa wiki tatu na kuhitimishwa tarehe 19/03/2025.

Supervisory Mgt Training to TEAGL2

Supervisory Mgt Training to TEAGL1

Chuo kinaendelea kuwakaribisha taasisi na makampuni kuja kujifunza kozi za uongozi na usimamizi mahala pa kazi.

 

 Supervisory Mgt Training to TEAGL