Downloads    |    Contact Us    |    Staff Mail    |    SIMS    |    Library    |            
BC Banner New

List of Short Courses

List of Announcements

News and Events

May 22, 2025 934

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kupitia Chuo cha Bandari Dar es Salaam, imejipanga kuendeleza uhusiano na Taasisi za Kimataifa ili kuwajengea uwezo Watumishi wake na kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Viwango vya Kimataifa v

Katika kuendelea na utekelezaji wa mkakati huo, Chuo cha Bandari Dar es Salaam kimepokea ugeni kutoka Chuo cha APEC kilicho chini ya Bandari ya Antwerp ya nchini Ubelgiji na Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya majadiliano ya kushirikiana katika kujenga uwezo kwa…
Oct 07, 2024 1436

Chuo cha Bandari kinaendesha mafunzo ya "Port operations" kwa wafanyakazi wa kurugenzi za Sheria na Ulinzi. Mafunzo mengine ni "Port Pricing and Tariff na "Terminal and Yard Planning" yanayofanyika kwa wafanyakazi wa Idara ya Utekelezaji.

Katika kutekeleza majukumu yake ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wa bandari, Chuo cha Bandari kinaendesha mafunzo ya "Port operations" kwa wafanyakazi wa kurugenzi za Sheria…